Topics :
© Bongo Waves | Under - Abdulaziz Issa. Powered by Blogger.
Latest Post

David Cosmas-Mama Chumbe NEW HIT SONG!

Written By Unknown on Friday, December 28, 2012 | 10:39 PM

David Cosmas
Wimbo wa Mama Chumbe kutoka kwa msanii David Cosmas aliye chini ya usimamizi wa NOLIN ENTERTAINMENT & OVERCLASSIC STUDIOS

Mchomvu: Ruksa video ya JONII kutengenezwa

Adam Mchomvu-Baba JONII
Mtangazaji wa show ya Double XXL na Bongo Fleva kupitia 88.5 Clouds FM radio maarufu kama Adamu Mchomvu au Baba Jonii,baada ya kutamba na ngoma yake kali inayokwenda kwa jina la Jonii,sasa leo ameamua kutoa ruksa kwa mashabiki wake kwa wale wanaotaka kutengeneza video hiyo ya Jonii.

Koikoi ni ujio mpya wa Ommy Dimpoz

Ommy Dimpoz
Msanii anaefanya vizuri na kazi zake kama "Me & Una zingine si mwingine ni Ommy Dimpoz akaribia kuachia ngoma yake nyingine kwa fans na inawezekana ikawa funga mwaka 2012.

Fat Joe kwenda jela kwa kukwepa kodi

Fat Joe
Kiongozi wa kundi la Terror Squad maarufu kama Fat Joe ama Joe Crack ambae hapo nyuma alitamba na baadhi ya ngoma zake kama Lean Back, What's Love, Aint say Nothing na nyingine nyingi.

Chris Brown:nataka kufa baada ya kutoa album yangu.

CB-Chris Brown
'Don't work me up hit maker' ambae amekuwa gumzo kwenye media mwaka huu katika maswala mbalimbali ikiwemo mapenzi yanayotatanisha kati yake na warembo wawili Karruache Tran na Rihanna,

Vanessa Mdee kutambulisha wimbo wake mpya mwakani

Vanessa Mdee a.k.a V
Baada ya kufanya vizuri katika collabo mbili kati ya A.Y na Ommy Dimpoz aliweza kufahamika  na kupelekea mashabiki wengi kumkubali katika muziki wa Bongo Fleva.

Hizi Ndio Sababu Zinazolifanya Kundi La P-Unit Lisivunjike

P-UNIT
 Kundi la P-Unit kutokea nchini Kenya ambalo lionaundwa na wasanii watatu yaani Frasha, Gabu na Bon Eye limeweza kutoa sababu ya wao kutotengana au kuwa pamoja hadi leo. 

P-Square Video-Alingo

Written By Unknown on Thursday, December 27, 2012 | 8:47 PM

P-Square Video - Alingo

Kauli ya Lady JayDee kuhusu yeye na Mwinyogoha

Written By Unknown on Thursday, December 6, 2012 | 8:58 PM


Lady Jaydee
baada ya kuomba maoni mengi kutoka kwa wananchi kuhusiana na kumrudisha Mwinyigoha katika Band yake ,sasa leo ameandiika ujumbe katika ukurasa wake wa facebook huu hapa.
 
© 2013. Muziki Wetu Tanzania - All Rights Reserved
Developed by Kicbjamii