Topics :
© Bongo Waves | Under - Abdulaziz Issa. Powered by Blogger.
Latest Post
Showing posts with label Afrika Mashariki. Show all posts
Showing posts with label Afrika Mashariki. Show all posts

MR BLUE KUFANYA SHOW KALI JIJINI MWANZA TAREHE 26/12 BOXING DAY

Written By Unknown on Thursday, December 25, 2014 | 3:03 PM


















Mr blue kufanya show siku ya Boxingday jijini Mwanza.
Mr blue atafanya show kubwa katika ukumbi wa Nolin uliopo buswelu.
Atasindikizwa na wakali kama Bamuyu kujogoo na David Cosmass bila kumsahau
Abuu mkali anaetamba na wimbo wake wa ASELA

EIZER BITZ: "NAWATAKIA HERI YA X MASS"

EIZER BITZ























eizer bitz nawatakia heri ya xmass na mwaka mpya

Deey Classic ndani ya Tunzo za Kili Time Music-Tz

Written By Unknown on Friday, April 26, 2013 | 6:29 PM

Deey Classic
Producer wa muziki kutoka Mwanza - Deey Classic amechaguliwa kuingia katika kinyang'anyiro cha kuwana tunzo katika kipengele cha producer anayechipukia.
Soma alichokiandika kutoka katika blog yake hapa.

Hizi Ndio Sababu Zinazolifanya Kundi La P-Unit Lisivunjike

Written By Unknown on Friday, December 28, 2012 | 8:08 PM

P-UNIT
 Kundi la P-Unit kutokea nchini Kenya ambalo lionaundwa na wasanii watatu yaani Frasha, Gabu na Bon Eye limeweza kutoa sababu ya wao kutotengana au kuwa pamoja hadi leo. 
 
© 2013. Muziki Wetu Tanzania - All Rights Reserved
Developed by Kicbjamii