Topics :
© Bongo Waves | Under - Abdulaziz Issa. Powered by Blogger.
Latest Post

Maisha ya Ndoa video - Madam NOLIN, Overclassic Music-Mwanza

Written By Unknown on Friday, April 26, 2013 | 8:35 PM

Video ya Wimbo wa Maisha ya Ndoa wa Madam Nolin kutoka OVERCLASSIC MUSIC - Mwanza

Madam NOLIN - Maisha ya Ndoa

Nimekosa Video by David Cosmas

Another hit from Overclassic Music-Mwanza


Deey Classic ndani ya Tunzo za Kili Time Music-Tz

Deey Classic
Producer wa muziki kutoka Mwanza - Deey Classic amechaguliwa kuingia katika kinyang'anyiro cha kuwana tunzo katika kipengele cha producer anayechipukia.
Soma alichokiandika kutoka katika blog yake hapa.

David Cosmas na Bamuyu Kijogoo Katika Ujio Mpya

Bamuyu Kijogoo
 Wasanii kutoka katika label ya muziki ya OVERCLASSIC MUSIC-Mwanza; David Cosmas na Bamuyu Kijogoo wako mbioni katika ujio wao mpya wa kuachia nyimbo zao chini ya usimamizi wa NOLIN ENTERTAINMENT - Mwanza na Papaa Misifa wa Dar es Salaam.

David Cosmas
 
© 2013. Muziki Wetu Tanzania - All Rights Reserved
Developed by Kicbjamii