Bamuyu Kijogoo |
Wasanii kutoka katika label ya muziki ya OVERCLASSIC MUSIC-Mwanza; David Cosmas na Bamuyu Kijogoo wako mbioni katika ujio wao mpya wa kuachia nyimbo zao chini ya usimamizi wa NOLIN ENTERTAINMENT - Mwanza na Papaa Misifa wa Dar es Salaam.
David Cosmas |
Post a Comment