Topics :
© Bongo Waves | Under - Abdulaziz Issa. Powered by Blogger.
Latest Post

MR BLUE KUFANYA SHOW KALI JIJINI MWANZA TAREHE 26/12 BOXING DAY

Written By Abdulaziz Issa on Thursday, December 25, 2014 | 3:03 PM


Mr blue kufanya show siku ya Boxingday jijini Mwanza.
Mr blue atafanya show kubwa katika ukumbi wa Nolin uliopo buswelu.
Atasindikizwa na wakali kama Bamuyu kujogoo na David Cosmass bila kumsahau
Abuu mkali anaetamba na wimbo wake wa ASELA

EIZER BITZ: "NAWATAKIA HERI YA X MASS"

EIZER BITZeizer bitz nawatakia heri ya xmass na mwaka mpya

David Cosmas ndani ya FNL ya EATV leo usiku

Written By Kisibi Isaya on Friday, May 3, 2013 | 6:33 PM

 
D.C au kama anavyojulikana kwa wengi David Cosmas leo atakuwa ndani ya kipindi cha EATV cha FNL-Friday Night Live akizungumzia

Maisha ya Ndoa video - Madam NOLIN, Overclassic Music-Mwanza

Written By Abdulaziz Issa on Friday, April 26, 2013 | 8:35 PM

Video ya Wimbo wa Maisha ya Ndoa wa Madam Nolin kutoka OVERCLASSIC MUSIC - Mwanza

Madam NOLIN - Maisha ya Ndoa

Nimekosa Video by David Cosmas

Another hit from Overclassic Music-Mwanza


Deey Classic ndani ya Tunzo za Kili Time Music-Tz

Deey Classic
Producer wa muziki kutoka Mwanza - Deey Classic amechaguliwa kuingia katika kinyang'anyiro cha kuwana tunzo katika kipengele cha producer anayechipukia.
Soma alichokiandika kutoka katika blog yake hapa.

David Cosmas na Bamuyu Kijogoo Katika Ujio Mpya

Bamuyu Kijogoo
 Wasanii kutoka katika label ya muziki ya OVERCLASSIC MUSIC-Mwanza; David Cosmas na Bamuyu Kijogoo wako mbioni katika ujio wao mpya wa kuachia nyimbo zao chini ya usimamizi wa NOLIN ENTERTAINMENT - Mwanza na Papaa Misifa wa Dar es Salaam.

David Cosmas

Advanced Search

Follow Bongowaves Post Updates by Email

FOR PICTURE EDITING, LOGO, VIDEOS, DIGITAL PRINTING AND ONLINE PROMOTION

FOR PICTURE EDITING, LOGO, VIDEOS, DIGITAL PRINTING AND ONLINE PROMOTION
WIDE SCREEN
 
© 2013. Muziki Wetu Tanzania - All Rights Reserved
Developed by Kicbjamii