Home » , » Fat Joe kwenda jela kwa kukwepa kodi

Fat Joe kwenda jela kwa kukwepa kodi

Written By Unknown on Friday, December 28, 2012 | 8:29 PM

Fat Joe
Kiongozi wa kundi la Terror Squad maarufu kama Fat Joe ama Joe Crack ambae hapo nyuma alitamba na baadhi ya ngoma zake kama Lean Back, What's Love, Aint say Nothing na nyingine nyingi.
Sasa latest news kutoka kwa rapper huyo ni kuwa yuko matatani kutokana na kukumbwa na mashtaka ya kudaiwa kodi ya kiasi cha dola za kimarekani $1 Million ambazo ameshindwa kulipa katika pato la taifa la mwaka 2007 na 2008
Fat Joe kwa sasa yupo huru kwa dhamana ya dola za kimarekani $250 hadi hapo atakapo kuja kusomewa tena hukumu yake hapo April mwakani.
Share this article :

Post a Comment

 
© 2013. Muziki Wetu Tanzania - All Rights Reserved
Developed by Kicbjamii